Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Hawa jamaa kikopo cha maji ya kilimanjaro wamedownlodia juice ya embe uswahilini
 
Heluuuaaa!!! Heluaaaa!!! All masry tunawasubiria huku misri kwa shangwe!!! Toka Jana hakuna amani!!! Wapigee hao mikiaaa
 
Dakika ya 38 simba wanapata faulo ila inadakwa na kipa
 
Ewe SHETANI mtawala wa anga la kuzimu, saidia simba a.k.a mikia fc ifungwe goli 6 - 1. Walidhania mashindano ya kimataifa ni mepesi kama ya miaka ya nyuma. Ewe Ibilisi wanyime kombe la ligi kuu thimba a.k.a wamatopeni fc. Mechi ya Leo ma marudiano kule misri ndiyo iwe mwisho wao wa kupanda ndege. Ameen !
 
Hahaha hili dua shetani mwenyewe hawezi kulisikiliza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…