Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kufa mbwa weee
Mnafurahi huku mmepumuliwa kweli chura ni chura tu hata umweke kwenye swimming poolRecord za CAF hivi sasa kimataifa zinasema Yanga IPO juu sana kuliko mikia fc ndiyo mana tunafurahi sana
Mange ndo kakushauri uje uandike hivi?Nyie Yanga badala ya kupambana na hali yenu, mnashupalia mechi isiyowahusu. Nendeni mkakusanye kifusi pale Jangwani, jengo lenu Linazama
Wachezaji wetu wanatabia ya kuogopa rangi nyeupeIli kuambulia japo draw ni lazima kwanza NDEMLA, MZAMIRU na JUUKO WAINGIE....
Pili mabeki ndio walioleta BALAA LOTE LA LEO.... Beki anashindwa kuondoa mpira ukaenda mbali ni aibu sana.
Beki anaondoa mpira mita mbili KWELI????? Haiwezekani. Mabeki hawajiamini kabisa Nashindwa kuelewa Beki mzoefu kama Erasto Nyoni ANATETEMEKA KAMA MTOTO.
HahahahahahahahhhhHahahaaa. Umeonaeee.
Hahah ...sawa rafiki kila lakherWacha kabisa rafiki. Jana hapakutosha hapa.
Tulikuwa tunaandika hiyo basi tu.
Leo wamezingua sana kwa kweli....Wachezaji wetu wanatabia ya kuogopa rangi nyeupe
Leo pasi moja golikuna wengine jana mlipigwa pasi 19 hadi goli
Sio poa mkuuLeo wamezingua sana kwa kweli....
Wachezaji wote wamekosa morali naona kichuya pia kafichwa kabisa leo makeke yake sijayaona kabisa....