Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Namshauri Manara awasiliane na Tanesco wakate umeme uwe Single tuwafunge hawa warabu teh teh teh teh
 
Ili kuambulia japo draw ni lazima kwanza NDEMLA, MZAMIRU na JUUKO WAINGIE....

Pili mabeki ndio walioleta BALAA LOTE LA LEO.... Beki anashindwa kuondoa mpira ukaenda mbali ni aibu sana.

Beki anaondoa mpira mita mbili KWELI????? Haiwezekani. Mabeki hawajiamini kabisa Nashindwa kuelewa Beki mzoefu kama Erasto Nyoni ANATETEMEKA KAMA MTOTO.
Wachezaji wetu wanatabia ya kuogopa rangi nyeupe
 
sokaonline-20180307-0002.jpeg
sokaonline-20180307-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom