theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Mwenyewe nilikuwa nimeboreka kinouma mkuu.....Afadhali maana nilikuwa nazomewa balaaa
sasa kwa matokeo haya unaweza ukatoka nje kifua waziAsante sana ungekuwepo ungenisaidia maana hawa wanaovaaa njano wamenizomea mpaka nikajifungia ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hili jamaa linaroho mbaya kama sura ya kwenye avatar yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili jamaa linaroho mbaya kama sura ya kwenye avatar yake
Wakiambulia draw...hamna la nyongeza hapo...suluhu tu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] Aiseee mambo gani haya sasaLUKU imeisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanesco washafanya yao
Ngoja nivae deraaa nikawasuteeeesasa kwa matokeo haya unaweza ukatoka nje kifua wazi
Duh bongo noma sana Ina maana taifa hamna jeneletaTanesco washafanya yao
mnaenda kupigwa tuuWakiambulia draw...
Tunaenda kufanya kweli kwao mkuu...
Umesema kweli mkuu...Kwa uzalendo wa kweli simba wawapo uwanjani wanajua wanachohitaji hapo sina ushabiki ila ndio ukweli huo
Kwani wabongo tunaishiwa vitimbi [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] Aiseee mambo gani haya sasa