libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Mavii kule unaenda kupigwa 5GWakiambulia draw...
Tunaenda kufanya kweli kwao mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavii kule unaenda kupigwa 5GWakiambulia draw...
Tunaenda kufanya kweli kwao mkuu...
Ni aibu kubwa sana.Hakika ni aibu sana kwa taifa langu
Mbwembwe! Wanataka kama ulaya kumbe mambo yenyewe hatuyaweziwangeweka saa 10 jioni tungeshamaliza saa nyingi
hamna la nyongeza hapo...suluhu tu
Wananijua vizurUna ujasiri huo?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
2-2 mpira haujaisha bado...umesimamishwa kutokana na umeme kukatika na mvua kubwa kunyeshaupdate jaman
MapatoooMbwembwe! Wanataka kama ulaya kumbe mambo yenyewe hatuyawezi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] dua la kuku mkuuMavii kule unaenda kupigwa 5G
Tunasubiri bado maamuzi ya wakubwaupdate jaman
endelea kukariri,Suluhu ni bilabila we vipi
@mshanajr [emoji23] [emoji23] [emoji23]mshana jr kasukumia mvua Dar
Ndio tunakuja na treni ya umeme ;[emoji20] [emoji20] [emoji20]umeme wa tanzania bhana
hii ndio BongoMbwembwe! Wanataka kama ulaya kumbe mambo yenyewe hatuyawezi
Hamna mvua kubwa na ww acha kukuza mambo...2-2 mpira haujaisha bado...umesimamishwa kutokana na umeme kukatika na mvua kubwa kunyesha