Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi kuzaliwa TanzaniaHii ni aibu kwa kweli. Aibu kwa Taifa, Aibu kwa TFF na ni aibu kwa watanzania. Uwanja kama ule hauna hata generator?
Y was i born in Africa? Typically shithole
Hamna mvua kubwa na ww acha kukuza mambo...
Upo Dar kwani?
Hii mvua unasema ni mvua kubwa??
Unaniuliza mimi tena wakati ww ndo uliyekua unaleta habari ..waulize watangqzaji wa iyo radioUmeme je?? umewaka au nao bado
uko uwanjani mkuuIyo sijui ila hakuna mvua kubwa ya kukatisha mechi sema kama wana sababu nyingine sawa..
Mpira umeisha kabla ya wakati? Sina habari nachosema ni kua hakuna mvua kubwa Dar. PeriodUbishi mwingine sasa ni nini Kilichosababisha mpira kumalizwa kabla ya wakati ni mvua ya mate!
sawaUnaniuliza mimi tena wakati ww ndo uliyekua unaleta habari ..waulize watangqzaji wa iyo radio
Btw mimi sio.mshabiki wa mpira
bahati yao umeme umekataNafasi pekee aliyo nayo ya kushinda ni NJAA TU LABDA
Kufanya nini? Mimi sio mshabiki wa mambo kama hayo.uko uwanjani mkuu
tusubiri maamuzi kutoka juubahati yao umeme umekata
Kwani wameshinda ngapi? Au ndo kama kawaida yao Droo kwao ni ushindi? Simba buana mmmshhiewKwa huu ushindi wa simba, leo wanayanga hawalali