Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Lolote linaloweza kutokea ni Simba kufungwa tu hamna namna
Lolote linawza kutokea.. Hata sare, hadi sasa wapi tumefungwa?

Unafikiri Chura aliyechezeshwa makirikiri? This is Simba SC
 
Waarabu kwa ALBADIR ni balaa, yaani baada ya kuona wamezidiwa kuna mmoja alikuwa amening'inia kwenye mkeka hewani, amepiga kisomo mpaka umeme unakatika.
Hahahaha
 
Hivi umeme wa Tanzania haupatani kabisa na mvua? Yaani! Au tuanze na 'viwanda' vya kufua umeme kwanza? Aibu sana hii.
 
hii mvua usishangae uwanja wa taifa tukaamka kesho ukawa upo chato tanzania kila kitu kinawezekana
 
Hii ni aibu kubwa TFF, ni mara ya pili umeme umekatika. Mara ya kwanza ni hile fainali ya Cecafa na leo tena umekatika.
TFF watazamwe vizuri, ni aibu uwanja kama ule kukosa standby genereta.
lakini uwanja ni wa serikali sio tff, tatizo ni hao simba kujitia kutaka kucheza usiku, wakijua umeme wetu wa ugokoni, caf wasije wakaufungia mechi za usiku.
 
Ila jamanii MVUA ni kubwa sana acheni masihara + miradi yote hii hata wao wenyew wasingekua comfortable

bora tuu ulivyokatika umeme, hivyo

yaan hapa viti vimevunjwa hatari


Pana Boya mmoja [HASHTAG]#Anabweka[/HASHTAG] Sana Hapa Anadai hakuna mvua Kubwa wala Nini Wakati Kajifungia Chumbani anapika Vitumbua.
 
Hii ni aibu isiyokua na kifani! Umeme kukatika wakati mechi ya kimataifa ikichezwa! Siasa za Tanzania sasa zimefikia hatua mbaya.
 
Kila la kheri Al Masry timu ya wananchi. Hapa Misri tunawaombea mrudi na ushindi wa kishindo. Mkipgwa tutakosa usingz hku Misri maana tangu Jana hatuli wala hatunywi.
Tunawasubiri uwanja wa ndege huku misri muwatoe nishai hao thimba
 
Back
Top Bottom