Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Analeta ujuaji mwingi. Na Dar ni kubwa kwahiyo inawezekana yupo pembezoni.

Hii mvua, upepo na hizi radi kwa uwanja wetu huu huwezi kushangaa mechi kusimama.
Swala sio mechi kusimama! Ishu ni umeme kukatika. Kwanini hakuna emergency generator uwanja wa kimataifa! This is shame to our country!
 
Upuuzi mkubwa huu, hii mechi Simba tulikua tunashinda 3 au 4 maana muda umeme unakatika tulikuwa tunacheza kwa intensity kubwa na tulikua tunashambulia kwa kasi sana. Ila kwa poor management ya uwanja ya hawa viongozi uchwara angalia team imekosa matokeo.

Haji Manara andika barua FIFA [emoji41]
 
Hii mechi angekuwepo Yule Jamaa aliyeolewa na kibii kizee Sweden alikuwa anabetua juu kidogo mpira halafu anafurumusha dongo moja kwa moja wavuni waarabu waliomba poo.
 
Screenshot_2018-03-07-20-30-43-1.png
Screenshot_2018-03-07-20-30-30-1.png
Screenshot_2018-03-07-20-29-06-1.png
Screenshot_2018-03-07-20-28-07-1.png
Screenshot_2018-03-07-20-26-11-1.png
Screenshot_2018-03-07-20-25-30.png
 
Back
Top Bottom