Waziri ndio anahusika na uwanja ?Ina maana hakuna stand by generator? Waziri husika afukuzwe, mnaamua kucheza usiku na mnaujua umeme wa Tanzania plan B Ilikua nn
Swala sio mechi kusimama! Ishu ni umeme kukatika. Kwanini hakuna emergency generator uwanja wa kimataifa! This is shame to our country!Analeta ujuaji mwingi. Na Dar ni kubwa kwahiyo inawezekana yupo pembezoni.
Hii mvua, upepo na hizi radi kwa uwanja wetu huu huwezi kushangaa mechi kusimama.
Hii miarabu inapenda fitna hiikweli kabsa. hapo wameliweka rohon subir wafike Misr sasa
Poa Mzee Baba......bahati Yao wale, si umeona lakini sola letu!Oyaa,vipi mwana??
Swala sio mechi kusimama! Ishu ni umeme kukatika. Kwanini hakuna emergency generator uwanja wa kimataifa! This is shame to our country!
Hii ndio TanzaniaTena uwanja mpya na wa kisasa
Sanaaaa 2nd half uwanja uliinamia kwaooWashukuru sana umeme maana tuliwashika kwenye kalio kidogo tuwafumue linda,,
Mpira umekwisha sasa Bado drawVipi mkuu haujaisha bado?
Usibishane na kilaza bro utapata hasira bure ukampiga hata ulie nae karibu hapo [emoji23] [emoji23]Kama suluhu ni score line inaposoma 0 - 0, na suluhu tasa maana yake nn
Kama suluhu ni score line inaposoma 0 - 0, na suluhu tasa maana yake nn??Nakariri mimi au wewe? Suluhu ni pale scoreline ikisoma 0-0 unless na wewe ni mmoja wa wale washamba uliyekuja mjini na ng'ombe.
Sawa mkuu vp mmeshinda huko au..??Tuache ubishi kuna gap kubwa kati ya Simba na Yanga. Simba anacheza mpira mpaka raha.