Teh teh teh. HahahaTuungane watanzania wote,kuwapa support wanaojua mpira...acha mpira utende haki,kila la kheri al masry
Watanzania tupo nyuma yenu
Sijambo kabisa Mtani rafiki.
Al Masry 2, Simba 1
hivi unatujua Al Masry watoto wa Jangwan au unatusikia?Leo muarabu anakula 3 za nguvu huku yeye akiambulia goli moja la kufutia machozi....
kumbe dada nawe ni mpenzi eeSijambo kabisa Mtani rafiki.
Ahsante sana mwaya. Nishakaribia mie na nitakuwepo hapa mpaka mwisho.
Tuombe Mola Maana!Leo ushindi ni lazima kwa Simba Sports Club.
Hukuna mjadala.
Uwepo Dear uku Ukiishangilia Watani Wako Tupate Ata Timu Moja ya Kupandaga Ndege Kila Mechi.Sijambo kabisa Mtani rafiki.
Ahsante sana mwaya. Nishakaribia mie na nitakuwepo hapa mpaka mwisho.
Mie mpenzi sana mdogo wangu. Kama jana nilipata homa baada ya timu niipendayo kupokea kichapo.kumbe dada nawe ni mpenzi ee
EwaaaaaaahSina wasi wasi na okwi kwenye suala la nyavu
Hahaaaa. Ntajitahidi mtani wangu.Uwepo Dear uku Ukiishangilia Watani Wako Tupate Ata Timu Moja ya Kupandaga Ndege Kila Mechi.
Leo Si Simba Na Nywele Za Paka Bali Tanzania Na Nywele Za Paka.
hahah pole jamani mie sio mpenz kabisa mwenzioMie mpenzi sana mdogo wangu. Kama jana nilipata homa baada ya timu niipendayo kupokea kichapo.
Vp wewe timu gani kwani?
Hahahaa. Mie mdogo wangu napenda sana tu.hahah pole jamani mie sio mpenz kabisa mwenzio
We Aminas mmh. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Tuombe Mola Maana!
Isijekuwa Ya Pasi 16.
hongera dadHahahaa. Mie mdogo wangu napenda sana tu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]hongera dad
Nipo hapa nimetia kambiGhazwat , Sesten Zakazaka , Zamaulid , Southern Highland , Joseverest , King Ngwaba , barafuyamoto , OKW BOBAN SUNZU , zeshchriss , Mshuza2 , hazard cfc , babalao 2 , Oxygen gas , namanyele ,ZigiZaga , theriogenology Shunie , Elgibo , Songa heri Shombe la Kisomali, Barn , Lyon Lee na wengine wengi njooni huku na leo kuna game. Teh.