Nasikia Sangoma kazidisha dose kama mechi na IsmaliaUmeshaangukia Pua
Usiwe na hofu watakutana tu nao maana wakitolewa huko walipo wanakuja huko mlipoYanga wangecheza na hii timu leo wangefungwa 6
Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Natumaini kama mtu hatajiuzulu mwenyewe mapema kesho basi atumbuliwe tu hamna namna. Kwanza wanaitia aibu nchi achilia mbali kuikosesha Simba goli zaidi ya mbili
andikeni barua na ninyiMavugo tuliambiwa jina lake halikupelekwa CAF na angecheza tu endapo Simba ingefika Hatua ya Makundi. Hii imekaaje had Leo kacheza???
Yanga wangecheza na hii timu leo wangefungwa 6
Kumbka kocha wa simba pia ni Mwarabu,hayo mambo anayajua,pia uwezo wa kutengeneza mazingira mazuri kwa simba pia anao..!!Hii miarabu inapenda fitna hii
Nawapongeza Simba kwa sare ya leo, ila Machinjio ya Misri inatuhusu
Shuhuli imeisha
Siku tatu dar hadi chalinze[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaweza kushangaa imezimika
Nakumbuka simba alivyo kalia Libolo fc wa Angola, ndicho ambacho siji kusahauUnamkubuka mbao kwa kuwa alikugonga viwili ukiwa umeshika ukuta
Ahahaaaah...Kwa huu ushindi wa simba, leo wanayanga hawalali
Acha uzushi wewe kwa mpira gani? Sema simba ina wachezaji wakongweTuache ubishi kuna gap kubwa kati ya Simba na Yanga. Simba anacheza mpira mpaka raha.