Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Natumaini kama mtu hatajiuzulu mwenyewe mapema kesho basi atumbuliwe tu hamna namna. Kwanza wanaitia aibu nchi achilia mbali kuikosesha Simba goli zaidi ya mbili

Nimeshangaa sana hakuna stand by generator?

Yaan nimesikitika sana Leo...

Hivi TFF hawajui kama uwanja wa Taifa hauna stand by generator?

Are we serious?
 
Upuuzi wa viongozi wa simba umetucost mech ingechezwa mapema tungeua
 
Yanga akitolewa na Township rollers anajiunga na kombe jepesi linalomsumbua simba
 
Yale ni mazoezi na warm up tu kwa waarabu sasa nendeni Misri kwa farao mpaonyeshwe mpira unavyochezwa
 
Back
Top Bottom