Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu tayari ana goli mbili.Leo muarabu anakula 3 za nguvu huku yeye akiambulia goli moja la kufutia machozi....
Hali mbaya... kuna kupigwa sita hapa.... hawa jamaa wakifika golini wana uhakika wa kupata baoWayaaaaaaa wayaaaaa wayaaaaaa.
Haya sasaaaaaa.
Pole sana mtani. Ila bado mprira ni dk 90Hawa wa arabu hawa.... naona hii mechi itakuwa na magoli si chini ya 10.....
Hahaha jana nimebalala bar...kuwakwepa hawa mikiaWayaaaaaaa wayaaaaa wayaaaaaa.
Haya sasaaaaaa.
Mhhhhhm mbwa tena? AnsanteMlitucheka sana mbwa nyie.
4 kwa 1Mods acheni sifa. Mtaandikaje 2-1 wakati mechi haijaisha?
TemaKoh koh koh
Hahaha wakutoshaaaKumbe JF kuna waarabu wengi namna hii? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mambo yanaweza kuwa vice versa mkuu....Mkuu tayari ana goli mbili.
4 kwa 1Mods acheni sifa. Mtaandikaje 2-1 wakati mechi haijaisha?
Hiyo ni update mkuu, jipe moyo kibao huenda kikageuka.Mods acheni sifa. Mtaandikaje 2-1 wakati mechi haijaisha?
Umeonaeeee. Watanzania bado sana aiseeHali mbaya... kuna kupigwa sita hapa.... hawa jamaa wakifika golini wana uhakika wa kupata bao
Kweli Mkuu, waarabu piga haoM ni mwarabu kabisa haki ya nani tena hao ni ndugu zangu kabisa
Tuko pamoja dada angu.Ghazwat , Sesten Zakazaka , Zamaulid , Southern Highland , Joseverest , King Ngwaba , barafuyamoto , OKW BOBAN SUNZU , zeshchriss , Mshuza2 , hazard cfc , babalao 2 , Oxygen gas , namanyele ,ZigiZaga , theriogenology Shunie , Elgibo , Songa heri Shombe la Kisomali, Barn , Lyon Lee na wengine wengi njooni huku na leo kuna game. Teh.
Mtani kwa kucheza huku unategema kushinda kweli ......Pole sana mtani. Ila bado mprira ni dk 90
Dada kuna watu siwaoni hapaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaeeee. Watanzania bado sana aisee
Jana walikinukisha leo zamu yetu. Teh teh teh.Tuko pamoja dada angu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo tutawaona wafanyakazi hewa. Bilioni 1 inanunua makombe eeeh.?