Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Tuwe pamoja kwa updates

SIMBA1.jpg

Kikosi cha Simba
Al Masry.jpg

Kikosi cha Al Masry
Kikosi.jpg


Al Masry.jpg

Wachezaji wanaingia uwanjani, muda wowote mpira utaanza..

00'Mpira umeanza

01'Mpira unaonekana kuanza kwa kasi kila timu

02'Al Masry wanapata kona ya kwanza.

03' Okwi anapoea pasi na kuwachachafya Al masry lakini anadhibitiwa

05'Mkude anamtangulizia Okwi lakini anachelewa

06'Gyan anapiga kros inakuwa ni kona, inapigwa lakini inakuwa kona nyingine

07'Penaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat

08' anaipiga Bocco.
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

John Raphael Bocco anaitanguliza simba kupitia Mkwaju wa Penat

11' Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Al Masry wanasawazisha kupitia kwa Mohammed Goma baada ya kupokea kross moja nzuri na kuinganisha moja kwa moja golini. Simba 1, Al Masry 1

13'Faul inapigwa kuelekea simba.

15'Al Masry wanatoa sana mipira nje ili kupunguza spidi

19'Simba sasa wanapigiana wenyewe kwa wenyewe

20' Kuna mchezaji wa Al Masry yuko chini na anagangwa, wachezaji wanakunywa maji na kupewa maelekezo na makocha

25'Penaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Ahmed Abdallah anaizamisha wavuni kwa mkwaju wa penat

30'Mpira sasa unaenda kwa kawaida japo Okwi amekuwa anapata wakati mgumu kupenya ngome ya Al Masry.



37'Faul inapigwa kuelekea al masry. Anaipiga Okwi na GK anadaka

38'Simba wanaendelea kumiliki mpira na wanajikuta off side.

41'Simba wanapata kona ya 3

43'Al Masry wanashambulia hapa kwa kichwa lakini anaidaka vizuri Golikipa Manula.

45'Shiza Kichuya anaonyeshwa kadi ya njano.

45+3' Al Masry wanapiga mshuti mkuuubwa lakini unatoka nje.

Mpira ni Mpunziko

45'Kipindi cha pili kimeanza

46' Free kick kuelekea simba

47' Mpira sasa una kasi kweli kweli

49'Faul inapigwa kuelekea simba, ni karibu na 18. inapigwa na inakuwa ni kona

50'Asante kwasi yuko chini na anagangwa.
Mohammed Ahmed ameoneshwa kadi ya njano.

55' Shomari Kapombe anapiga kros moja nzuri, kwasi anaikosakosa

57'Erasto Nyoni anaonyeshwa kadi ya njano.

58' Kichuya anapiga shuti moja kuuubwa golini lakini linatoka nje.

59' Free Kick kuelekea Al Masry, anapiga Kichuya almanusra simba ipate goli

61'Anatoka John Raphael Bocco anaingia Laudit Mavugo.

64'Emmanuel Okwi anafanya jaribio zuri baada ya kupokea pasi kutoka kwa Nicolaus Gyan na kuipiga golini lakini ikagonga mwamba.

68' Simba wanajitahidi kulazimisha kupata bao, Okwi anapiga shuti lakini linatoka nje.

71' Anatoka Yusuph Mlipili, anaingia Said Hamis Ndemla

73'Penaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat
Inapigwa na Emmanuel Arnold Okwi

Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Emmanuel Okwi anaizamisha shuti kali wavuni baada kupiga mkwaju wa penat; simba 2, Al Masry 2.

80'Taa zimezimika uwanja wa Taifa, mpira umesimama

95' Mpira unaendelea, uwanja una maji mengi

98' Okwi yupo chini na anauguza mguu

Mpira umekwisha. Simba 2, Al Masry 2
 
Kwa huu ushindi wa simba, leo wanayanga hawalali
 
Leo muarabu anakula 3 za nguvu huku yeye akiambulia goli moja la kufutia machozi....
 
Back
Top Bottom