Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hizo ni figisu tu. Hakuna lolote. Tunajiharibia sifa zetuMvua kubwa inanyesha na Umeme umekatika uwanja wa Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni figisu tu. Hakuna lolote. Tunajiharibia sifa zetuMvua kubwa inanyesha na Umeme umekatika uwanja wa Taifa.
Naskia uwanja umejaa maji so possibility ya mechi kuendelea ni mdogo.....Ni aibu kubwa sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo madhara ya kukopi mambo....unaweka mechi usiku wakati unajua umeme hujanunua luku
hahahaha ni shidaaAu wangenunua luku ya kutosha mana hapo tatizo ni luku imeisha ...huku umeme upo
Tanesco wasisingiziwe
Halafu tunaambulia aibu kubwa hivi...!!!Mapatooo
roho inakuuma mkuu kwani umeradhimishwa kushabikia vyura fc???[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo ni figisu tu. Hakuna lolote. Tunajiharibia sifa zetu
Arabuni unaenda kuchezea mkonoNdio tunakuja na treni ya umeme ;[emoji20] [emoji20] [emoji20]
maelezo ya mtangazaji wa RadioHamna mvua kubwa na ww acha kukuza mambo...
Upo Dar kwani?
Hii mvua unasema ni mvua kubwa??
[emoji12] [emoji12] [emoji12] mshana na misukule yake@mshanajr [emoji23] [emoji23] [emoji23]
LUKU imeishayaani umeme umekata?
wameanza kuzinguliwa na askari nasikiaNasikia mashabiki wana slide uwanjani kujaribu kukausha maji ili LUKU ikinunuliwa wachezaji wasipate tabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiooo tujifunzeeHalafu tunaambulia aibu kubwa hivi...!!!
Mpaka leo unawaamini watangazaji wa radio??maelezo ya mtangazaji wa Radio
Tanzania kuna vituko sana..wameanza kuzinguliwa na askari nasikia