Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

Hahaaa. Ila nyie bado sanaaaa. Kagoli kamoja tu Mtani?

Hongereni sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hivi hujatambua kuwa huyu ni mtoto wetu kiukoo. Haina haja ya kumpiga 4G

Asanteni mkuu, ndo faida ya kuwa na kikosi cha 1b.
 
Nasikia tumeshinda! Wakalambe lambalamba huko. Ooh, OoooKwiiiiii! Gooool!!!!!
 
Hivi hujatambua kuwa huyu ni mtoto wetu kiukoo. Haina haja ya kumpiga 4G

Asanteni mkuu, ndo faida ya kuwa na kikosi cha 1b.
Hahaaa. Sasa ili kunogesha Ukoo si usingemfunga kabisa. Kamoja ka nini sasa?
 
Jaman ebu rudi nyuma mbona nimekuja mda tu dada
Sijakuona dada yangu nkajua we Simba lia lia yaani mpira ukichezwa huwezi kufanya chochote mpaka uishe. Hahahaaaa.

Ila hongera sana dada ake. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
dah heri tumeshinda hawajamaa wanatupaniaga sana sisi utakuta anafungwa kirahisi na ndala africans ila kwa cmba wanakaza kweli
 
Asante kwasi
Asante okwi
Asante ndemla
Asante bocco
Asante kotei
Asante mkude
Asante manula
Asante kichuya
Asante mlipili

Team nzima ilikuwa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…