Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahaaa. Ila nyie bado sanaaaa. Kagoli kamoja tu Mtani?
Hongereni sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kamoja kanatosha, muhimu katengeneze mtoto (aka point 3).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Ila nyie bado sanaaaa. Kagoli kamoja tu Mtani?
Hongereni sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hivi hujatambua kuwa huyu ni mtoto wetu kiukoo. Haina haja ya kumpiga 4GHahaaa. Ila nyie bado sanaaaa. Kagoli kamoja tu Mtani?
Hongereni sana. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahaaa. Kwa nini sasa. Tia neno bana.
Hahaaa. Hamkosi utetezi nilijua zinaendelea zile 4G kumbe hapana. Lol.Kamoja kanatosha, muhimu katengeneze mtoto (aka point 3).
[emoji16][emoji16] Rudia Tena kauliHawa mikia fc leo hawachomoki
Hahaaa. Sasa ili kunogesha Ukoo si usingemfunga kabisa. Kamoja ka nini sasa?Hivi hujatambua kuwa huyu ni mtoto wetu kiukoo. Haina haja ya kumpiga 4G
Asanteni mkuu, ndo faida ya kuwa na kikosi cha 1b.
Jaman ebu rudi nyuma mbona nimekuja mda tu dadaMmh. Dada. [emoji15]
Wantia shaka ushabiki wako ujue. Teh teh. Waja mpira ushakwisha. Lol
Mie nilikuwa Azam. [emoji85] [emoji85]Ulikuwa upande wa azam au simba?
Sijakuona dada yangu nkajua we Simba lia lia yaani mpira ukichezwa huwezi kufanya chochote mpaka uishe. Hahahaaaa.Jaman ebu rudi nyuma mbona nimekuja mda tu dada
Hivi siku hz hakuna ban tena??FT 2-2
Mie nilikuwa Azam. [emoji85] [emoji85]
Ndoto wakati zaweza kuwa kweliFt
1-1
Azam gl penalty
Ahsante sana nsharudi zangu tayari.Basi polee bora urudi tuu yanga.
Ahsante sana nsharudi zangu tayari.
Kwani we timu gani? [emoji12]
Hahaaaa. Babuuu.Roho mbaya hiyo mjukuu...