Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

90+3 ' Naam mpira umekwishaaaaaaaaaaaaa. Simba SC wanatoka uwanjani kwa ushindi mnono wa mabao 4 kwa 0 dhidi ya Gendarmarie Nationale FC

Asanteni..... Ghazwat
 
Ayaaa 4-0 umeridhika?
 
4G

Mpira umekwisha
Simba 4 - 0 Gendarmarie
 
Waya waya waya

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…