Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Hapana. Hizi ni timu mbili tofauti mkuu. Hii iliyofungwa na Simba ni ya Djibouti wakati watakayocheza nayo kesho ni timu ya Niger.
Wanadhani nchini ya Djibouti imejibadilisha jina inaitwa Niger halafu ika ji reposition from Eastern Africa to Western Africa.
 
Aa!pamoja mkuu maana kuna wanaosema ni saa 10 jion

FL9umYmXMAc6A7P.jpeg
 
Back
Top Bottom