OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizi show tumeanza kitambo.Kumbe walifumuliwaga hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi show tumeanza kitambo.Kumbe walifumuliwaga hivi
Balaa. Wawakilishi pekee wa nchiHizi show tumeanza kitambo.
na Africa Mashariki na Kati. ili kuokoa muda tuite tu Giants wa CECAFABalaa. Wawakilishi pekee wa nchi
Hapana. Hizi ni timu mbili tofauti mkuu. Hii iliyofungwa na Simba ni ya Djibouti wakati watakayocheza nayo kesho ni timu ya Niger.Kumbe walifumuliwaga hivi
Hapana. Hizi ni timu mbili tofauti mkuu. Hii iliyofungwa na Simba ni ya Djibouti wakati watakayocheza nayo kesho ni timu ya Niger.
Asec vs Stella☕☕Tunaenda kukumbushia tu,hawa ni wachumba
Wanadhani nchini ya Djibouti imejibadilisha jina inaitwa Niger halafu ika ji reposition from Eastern Africa to Western Africa.Hapana. Hizi ni timu mbili tofauti mkuu. Hii iliyofungwa na Simba ni ya Djibouti wakati watakayocheza nayo kesho ni timu ya Niger.
This is not the same we played against in around 2018Kumbe walifumuliwaga hivi
Saa 1:00 jioniGame ni saa ngap wakuu?
Aa!pamoja mkuu maana kuna wanaosema ni saa 10 jionSaa 1:00 jioni
Duu kumbe tumepishana masaa mawili kabxa