Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

wanacheza na maiti, you can not boast of winning against such a rubbish team! I am a Simba fun, a staunch one, but I am sorry I have to confess the reality! Najua hutapenda.
Tatizo lilianzia hapa ndo maana OKW SUNZU BOBAN akaamua kukuzingua.

Pole mkuu.. Naingia kulala kwa sasa tukutane mida ya wanga [emoji16] [emoji4]
 
Ananizingua wapi mbona matusi nami ndiyo pake. Ni kujiheshimu tu. Tatizo ukitoa punch moja unafungiwa. Nadhani hakuna asiyejua matusi mabaya, ni kjiheshimu. Kuna watu humu wanaonekana kama wana busara lkn kumbe matatizo. Nina rafiki yangu aliachana na JF kuwa hakuna mtu wa kudiscuss naye. Ni wa mwanzo wakati JF bado inakata intellectual issues!
Nitamzingua kama moderators hawakumzingua nitamzingua!
 
Nizingue mkuu. Naona unajitunisha na kutangatanga kutafuta nguzo ya kushikiza. Huu uzi ni Simba 4: Genda 0,Simba timu kigogo barani. Tafuta matokeo ya Consideration
 
Simba mwaka huu wanatupa raha. Ila kuna jamaa tuliwatwanga sita mtungi enzi zile mpaka leo wanambwelambwela tu!
 
Back
Top Bottom