Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Gendarmarie Nationale FC jezi rangi ya blue. Na Simba SC jezi Nyekundu uwanja wa Taifa
 
Kapombe anakwendaaaa laa laa laa konaaaaa
 
15 ' inapigwa konaaaaa nje mpira ni wakurushwa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nafasi kwa Gendarmarie sasa lakini wanashindwa kufikia lango la Simba
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuu hebu tupeni habari zinazoeleweka. Mbona mnatusukasuka tuu? Toa taarifa matukio kadri zinavyojiri.
 
Okwi anakwendaaaa Okwiiiii la la
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Usawa huu nianze kukusanya hela ya Tv tena maanina. Asante chief
Mkuu inaumaa hatariiii .. weziiii watu wa kuchomwaa mm nikikuta mwizi anapigwa naleta mpira wa kuchomea
 
Dk ya 19 kichuyaaa anakosaa
 
Kichuyaaaaa kona kuelekea upande wa Gendarmarie
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kapombeee anapiga kichwaaaa mabeki wanahamisha
 
Back
Top Bottom