Pole sana mkuuAliyeniibia TV yangu KLMYK! yaani leo nafuatilia game JF!
Dah pole chief.
Pole sana mkuu
Mkuu inaumaa hatariiii .. weziiii watu wa kuchomwaa mm nikikuta mwizi anapigwa naleta mpira wa kuchomeaUsawa huu nianze kukusanya hela ya Tv tena maanina. Asante chief
Tunafurahia kabumbu saaafiiii ....Kichuyaaaaa kona kuelekea upande wa Gendarmarie