Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

6642e2fc0342b2aa583d469b66a30a98.jpg
45 ' Naam mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

Simba SC wanakwenda wakiwa mbele ya goli tatu bila majibu dhidi Gendarmarie Nationale FC
 
Nasubiri manara baada ya mechi nipate cha kuongezea maisha jioni maana lazima nicheke mpka nivunje mbavu
 
Ahsante mnyama..!:Mungu jaria simba aongeze ma-goal 2 tu ili tujiweke ktk nafasi nzuri ya kusonga mbeleee..!!! [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji448][emoji448][emoji448] [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Bado mawili ya okwi na moja la kichuya, jumla sita
 
6642e2fc0342b2aa583d469b66a30a98.jpg
45 ' Naam mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

Simba SC wanakwenda wakiwa mbele ya goli tatu bila majibu dhidi Gendarmarie Nationale FC
Naona leo Mnyama anatutoa aibu hapo Taifa baada ya Ndala kutuabisha jana
 
Back
Top Bottom