jamani Simba rahaa45' Goooooooooaal goooooooooaal goooooooooaal
John Bocco anaandika bao la tatu upande wa Simba SC
wanacheza na maiti, you can not boast of winning against such a rubbish team! I am a Simba fun, a staunch one, but I am sorry I have to confess the reality! Najua hutapenda.jamani Simba rahaa
Bado mawili ya okwi na moja la kichuya, jumla sitaAhsante mnyama..!:Mungu jaria simba aongeze ma-goal 2 tu ili tujiweke ktk nafasi nzuri ya kusonga mbeleee..!!! [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji448][emoji448][emoji448] [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Hahaaa. Ndio.Haaah! Kumbe wewe mwanasisiem mwenzangu..! [emoji41]
Naona leo Mnyama anatutoa aibu hapo Taifa baada ya Ndala kutuabisha jana45 ' Naam mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
Simba SC wanakwenda wakiwa mbele ya goli tatu bila majibu dhidi Gendarmarie Nationale FC
Hivi nyie hii sentensi mliielewa[emoji15] [emoji15] [emoji15]Dakika za mbili za nyongeza okwi anamfanyia utam boko