Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Big up Simba! Kipindi cha pili tunahitaji mabao mengine kama hayo: Ft
Simba SC 6 - 0 Gendarmarie Nationale FC
 
Naam timu ndiyo zinaingia kwa ngwe ya pili...
 
wanacheza na maiti, you can not boast of winning against such a rubbish team! I am a Simba fun, a staunch one, but I am sorry I have to confess the reality! Najua hutapenda.
umetumwaa??!!
 
Naam mpira unaanza hapa kipindi cha pili uwanja wa Taifa.

Hakuna mabadiliko kwa wachezaji pande zote mbili
 
Hakuna mabadiliko
Simba ni wale wale na Gendarmarie Nationale FC nao ni wale wale!
 
Hakuna mabadiliko
Simba ni wale wale na Gendarmarie Nationale FC nao ni wale wale!
 
46' Kwasiiiiii. Lakini golikipa anaokoa hapa na kuweka katika himaya yake
 
Penaltiiiiiiiii kuelekea lango la Simba baada ya Erasto Nyoni kuchezea rafu mchezaji wa Gendarmarie FC
 
Simba bhana acheni uvivu,fungeni hao vibonde magoli ya kutoshaaa
 
Okwiiii
Mangula anapangua penalti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…