Uwanja wa Taifa: Simba SC 4-0 Gendarmarie Nationale FC, Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Aishi Manula, kapangua penalti
 
Okwiiiii Okwiiiii la la nje. Goal kick
 
Gendarmarie FC. Wanafanya mabadiliko
 
Reactions: Lee
John Boccooooo. Lakini ni faulo kuelekea lango la Gendarmarie.

Maeneo hatari sana...
 
Kichuyaa anapiga konaaaaa fupi kwake Okwi

Unatoka nje mpira
 
Kapombeee anakwendaaaa Offside....!
 
63' Simba SC 3-0 Gendarmarie Nationale FC
 
Okwiiiii Okwiiiii Okwiiiii anaruka laa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…