Karibu kaka ake ndio timu yetu hii.Nishafika Siz
Kabisaaaaaa. Tuko nayo tu.Kwenye shida na raha [emoji123][emoji123]
Ahsante sana Kaka Mtani sina jinsi.Hongera kwa moyo huo Mtani..Kwangu nasubiri Iftar tu maana kazi nimemaliza mapema kuwa Bingwa wa VPL
This is Simba SC Sister[emoji91] [emoji91]
Angalau leo tunaweza furahi na sie sababu tuliandamwa sana na maumivu.Mapumziko
Yanga 1
Mbao 0