Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

Kabisaaaaaa. Tuko nayo tu.
Hongera kwa moyo huo Mtani..Kwangu nasubiri Iftar tu maana kazi nimemaliza mapema kuwa Bingwa wa VPL

This is Simba SC Sister[emoji91] [emoji91]
 
Mabadiliko kwa upande wa Yanga..Anatoka Yusuf Mhilu nafasi yake inachukuliwa na Matheo
 
Hongera kwa moyo huo Mtani..Kwangu nasubiri Iftar tu maana kazi nimemaliza mapema kuwa Bingwa wa VPL

This is Simba SC Sister[emoji91] [emoji91]
Ahsante sana Kaka Mtani sina jinsi.

Hahaaaa. Unikaribishage na mie nduguyo basi. Hongereni.

Japokuwa ulinikimbia Mtani game ya Kagera Sugar [emoji12] [emoji12]
 
Matheo anapiga shuti..lakini ni Goal Kick
 
55' Ndaki anakwenda kwenye benchi na anaingia Kevin upande wa Mbao FC
 
Mbao wamepata kona ya nne..Lakini hazijazaa matunda
 
72' Yanga SC 1-0 Mbao FC uwanja wa Taifa
 
75' Anatoka Daud anaingia Paul Godfrey upande wa Yanga
 
85' Yanga SC 1-0 Mbao FC uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
 
Mpira una mashambulizi ya hapa na pale hasa kipindi hiki cha pili Mbao FC kuonekana kuamka
 
90' Naam mpira umekwisha uwanja wa Taifa ambapo Yanga wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbao FC

Asanteni...Ghazwat
 
Back
Top Bottom