FIFA waliweke kwenye kushindania Puskas awardLile goli Ronaldo anasubiri
Unajua mi namshangaa kocha wa Taifa..Ajibu sio mtu mzuri hahaha goli lake thamani yake unanuΓ±ua dreamliner 100 na chenji
Ngebe za Mbao mliowashindwa tumezifyekelea mbali [emoji2147][emoji1733]Hahahaha haya bana mkuu ila safari bado sana ujue
Msimamo wa ligi ukoje
Leo tumemnyoosha mume wenu mbele yenuYanga imetoka ICU? Pole zao kwa kulawitiwa mwaka huu.
Nimekymiss sana mkuuKILA LA HERI YANGA LEO...USHINDI LAZIMA
MPAKA SASA HIVI DAKIKA YA 75
Yanga 1 Mbao Fc 0
Hahahahaaaa. Najua umenuna hapo ila nakwambia hivyo hiyo.Mtani ngapi ngapi huko [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Mbona Uzi wa kitambo sana. Duuuh.
Na tumezinyakua aiseeeee.Hahahaaaa , nipo mkuu nawaona mkikaribia kunyakua point zote tatu toka kwa hao madogo
Hajar anamalizia majukumu mawili matatu, usipomuona leo basi kesho mapema tu atakuja kushangilia huku