Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League VPL, Yanga 1 SC Vs 0 Mbao FC

Kuto wafunga mbao CCM kirumba sio kwa sababu tulikuwa ugenini bali tuna kuwa tumezidiwa kimchezo kwa siku hiyo.
Good, umempa jibu mujarabu. Wakati mwingine timu zetu zikizidiwa kimbinu ama kiuwezo hebu tu admit, siyo kukomaa tu na ushabiki was kishamba.
 
Watani wamekomaa na mambo ya ugenini mgetoa droo basi kuonyesha kuwa mko vizuri ugeni uliwaharibia msipate ushindi, nyie semeni mlijua kuwa na usajili wa hela nyingi ni kuongoza ligi.
 
Good, umempa jibu mujarabu. Wakati mwingine timu zetu zikizidiwa kimbinu ama kiuwezo hebu tu admit, siyo kukomaa tu na ushabiki was kishamba.
Hahaaaa ameaza kwa mwembwe eti hatujui mpira
 
Hizo za kiwango ziliruhusu goli kwa mbao, na mbao amwruhusu goli kwa yanga. Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa transitive kwa maana ya kuwa kama wewe umeweza kufungwa na Mbao na mbao kafungwa na yanga basi na wewe ni kama umefungwa na yanga
Mpira wa wapi huo,.. acha porojo.
 
Watani wamekomaa na mambo ya ugenini mgetoa droo basi kuonyesha kuwa mko vizuri ugeni uliwaharibia msipate ushindi, nyie semeni mlijua kuwa na usajili wa hela nyingi ni kuongoza ligi.
Hela mbona zinawauma sana.. na ligi bado game 30+ au ndio tuseme kuongoza ligi tu ndio bingwa kwa mechi 6/7?..
 
Mimi sio coach lakini mtazamo wangu nadhani shida ya ajibu ni moja tu nayo ni, hawezi mpira wa kibabe hususani team inapo kuwa imeshindwa kumiliki mchezo.
Timu kila player ndani ya uwanja ana uwezo sawa na wenzie... asante kwa sababu yako, lakn jamaa anaonewa sana
 
Ajib aliyecheza na midfield za Simba za viwango akashindwa kucheza mpira.
Kwani Okwi alifanya nini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si aliwekwa chini ya ulinzi na dogo Paulo...
 
Ndio maana kukawa na mechi za ugenini na nyumbani, kuna psychological factor kwenye hilo. Sikumbuki ni lini mliwafunga Mbao kwenye uwanja wao wa nyumbani, please do remind me.
Mzunguko wa pili wanaenda kufungwa!

Tupinge.[emoji23]
 
Kwa kikosi hiki ambacho mpira wanaanza kwa kupiga nje kisa uoga sidhani kama ugenini kuna usalama mwaka huu.

Muoga gani unayemzungumzia ambaye amecheza michezo pungufu ya Ligi na bado yuko Kileleni?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sio coach lakini mtazamo wangu nadhani shida ya ajibu ni moja tu nayo ni, hawezi mpira wa kibabe hususani team inapo kuwa imeshindwa kumiliki mchezo.

Sio kwamba hawezi mpira wa kikabe...basi tu kuna wakati kwenye Maisha unapitia wakati wa kutokukubalika no matter what you do.

Mbona Niyonzima ana uchezaji ulio sawia na Ajibu.?

Niyo na Ajibu ni viungo wasio weza tumia nguvu mara zote but....Niyonzima anapata namba NationaTeam.

Naamini angekuwa mrundi, mganda, mkenya angekuwa regural player kwa NT.
 
Kuwa kileleni sio hoja, hoja ni kuwa bingwa. As we speak bingwa ni Simba.

Muoga gani unayemzungumzia ambaye amecheza michezo pungufu ya Ligi na bado yuko Kileleni?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaaa. Najua umenuna hapo ila nakwambia hivyo hiyo.

Mbao imerandwa mara hizooooo. Hahahahaaaaa. Mbili.

Kama nakuona Mtani ulivyozima Tv pasi kupenda maana saa ile wengi walijua goli linarudi na wewe ukiwemo [emoji12][emoji12][emoji12].
Jesse: Mwalimu kashasha unalizungumziaje goli la Ajibu

Kashasha: Ajibu amepiga dynamic rocket shot yani kabla ya kupiga alimuangalia kipa akamuona yuko off position yeye akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 60 ya juu kisha akabend na kutanua mikono kama anavyofanya eagle anapotaka kuruka ili kupata full body balance alafu akapiga hyo shot with full gas at his foot inasemekana shuti ilikuwa linasafiri at 200km/s yani hata kama kungekuwa na makipa 3 golini wangefungwa tu na huyu shagalabagala kama angeufikia ule Mpira basi Baada ya kurudi chini Angeweza kupata stroke au heart attack ndio mana aliruka kiushahidi tu kuondoa lawama but all in all this is a PUSKAS goal[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

kwako Jesse
 
Back
Top Bottom