Good, umempa jibu mujarabu. Wakati mwingine timu zetu zikizidiwa kimbinu ama kiuwezo hebu tu admit, siyo kukomaa tu na ushabiki was kishamba.Kuto wafunga mbao CCM kirumba sio kwa sababu tulikuwa ugenini bali tuna kuwa tumezidiwa kimchezo kwa siku hiyo.
Asee Yanga ana mechi bado mkononiMsimamo wa TPL
Hahaaaa ameaza kwa mwembwe eti hatujui mpiraGood, umempa jibu mujarabu. Wakati mwingine timu zetu zikizidiwa kimbinu ama kiuwezo hebu tu admit, siyo kukomaa tu na ushabiki was kishamba.
Mpira wa wapi huo,.. acha porojo.Hizo za kiwango ziliruhusu goli kwa mbao, na mbao amwruhusu goli kwa yanga. Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa transitive kwa maana ya kuwa kama wewe umeweza kufungwa na Mbao na mbao kafungwa na yanga basi na wewe ni kama umefungwa na yanga
Hela mbona zinawauma sana.. na ligi bado game 30+ au ndio tuseme kuongoza ligi tu ndio bingwa kwa mechi 6/7?..Watani wamekomaa na mambo ya ugenini mgetoa droo basi kuonyesha kuwa mko vizuri ugeni uliwaharibia msipate ushindi, nyie semeni mlijua kuwa na usajili wa hela nyingi ni kuongoza ligi.
Pasi ngonga zingekuwa zina kupa alama 3 basi ungekuwa juu ya MBAO FC leo hii.Yanga tia maji tia maji. Hawawezi kucheza dk 90. Wakati Simba inatamani mpira uwe dk 120 mashabiki wapati raha ya pasi gonga
Timu kila player ndani ya uwanja ana uwezo sawa na wenzie... asante kwa sababu yako, lakn jamaa anaonewa sanaMimi sio coach lakini mtazamo wangu nadhani shida ya ajibu ni moja tu nayo ni, hawezi mpira wa kibabe hususani team inapo kuwa imeshindwa kumiliki mchezo.
Sio.mechi.bali.mimechi.Asee Yanga ana mechi bado mkononi
HahahahaSio.mechi.bali.mimechi.
Kwani Okwi alifanya nini?Ajib aliyecheza na midfield za Simba za viwango akashindwa kucheza mpira.
Kwani kagere alifanya nini..Ajib aliyecheza na midfield za Simba za viwango akashindwa kucheza mpira.
Mzunguko wa pili wanaenda kufungwa!Ndio maana kukawa na mechi za ugenini na nyumbani, kuna psychological factor kwenye hilo. Sikumbuki ni lini mliwafunga Mbao kwenye uwanja wao wa nyumbani, please do remind me.
Mzunguko wa pili wanaenda kufungwa!
Tupinge.[emoji23]
Walizuiwa na BENO tu, hao unaowataja walikuwa mapitio siku ile.Kwani kagere alifanya nini..
$i aliwekwa kitanzini na Yondani!!...[emoji23][emoji23]
Kwa kikosi hiki ambacho mpira wanaanza kwa kupiga nje kisa uoga sidhani kama ugenini kuna usalama mwaka huu.
Walizuiliwa na Beno au na UCHAWI?Walizuiwa na BENO tu, hao unaowataja walikuwa mapitio siku ile.
Mimi sio coach lakini mtazamo wangu nadhani shida ya ajibu ni moja tu nayo ni, hawezi mpira wa kibabe hususani team inapo kuwa imeshindwa kumiliki mchezo.
Muoga gani unayemzungumzia ambaye amecheza michezo pungufu ya Ligi na bado yuko Kileleni?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jesse: Mwalimu kashasha unalizungumziaje goli la AjibuHahahahaaaa. Najua umenuna hapo ila nakwambia hivyo hiyo.
Mbao imerandwa mara hizooooo. Hahahahaaaaa. Mbili.
Kama nakuona Mtani ulivyozima Tv pasi kupenda maana saa ile wengi walijua goli linarudi na wewe ukiwemo [emoji12][emoji12][emoji12].