Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

FULL TIME: Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kaliwa Kiboga
 
emmyta Pole Mtani Usijari Marudio Utafanya Vyema.
Yanga Poleni Mola Atembee Na Nyie Leo.
 
Hahahaaa. Kabisaaa na ukizingatia na nyie mna kigingi kesho hivyo inabidi tuombeane tu kwa kweli.
Binafsi kesho hata simba ikifungwa wala sitasikitika kama nilivyo sikitika juzi walipo toa droo na stand ya Shinyanga
 
Aiseee. Sidhani Mtani ila huenda ikawa hivyo.
Kuwa na amani mtani... Mpira siku zote hudunda kama wao wameweza kushinda wakiwa ugenini why sisi tushindwe kufanya hayo maajabu nyumbani kwao bado na imani kuwa yanga inayo nafasi ya kufuzu...
 
Afadhali...kesho ikitokea mnyama akipigwa tutakua tumefanana..eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…