Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Afadhali...kesho ikitokea mnyama akipigwa tutakua tumefanana..eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Afadhali...kesho ikitokea mnyama akipigwa tutakua tumefanana..eti?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28]![]()
Hahahahahhahaha! Kesho Sikimbii Ile Ya Juzi Simba Walinipa Maumivu Nikajikuta Nahama Na Mtaaa Kabisaa.Hahaha. Hukawii kunikimbia Aminas
Hivi kumbe na wewe Simba lol.Na kweli emmyta kila penye uzito na wepesi upo, mfupa wa mechi za kimataifa ni mgumu sana kwa Yanga, subirini wepesi upo kwenye kucheza na kina Lipuli FC na Ruvu Shooting
Chips umewapaisha hawa kutwa mihogoBotswana wanashindia Maziwa ya mgando, huku watu wanashindia Chips na mayai ya kisasa
[emoji23]
Hahahaa. Nilikutag zaidi ya mara tatu hata kunijibu nikajisemea Aminas kanikimbia.Hahahahahhahaha! Kesho Sikimbii Ile Ya Juzi Simba Walinipa Maumivu Nikajikuta Nahama Na Mtaaa Kabisaa.
Ila kesho Mtani Tupo Wote.
Kweli kabisa. Maana simuoni JoseverestBora tutapumzika leo.
Niliziona Zile Tag Sema Nikajua Tuuh Utazingua Nikaamua Nizime Na Kimeo Chenyewe Ichi Nitulie Tuuh.Hahahaa. Nilikutag zaidi ya mara tatu hata kunijibu nikajisemea Aminas kanikimbia.
teh teh itakua na nsajigwaHivi subs za yanga huwa zinafanywa na benchi la ufundi au Manji?
Kukata tamaa ni mwiko mtani....Hahaaa. Sio siri unajua kunipa moyo mtani lol.
Inabidi niwe na amani aiseee.
Hahahaa. Ila kesho ukiziona usizichunie si unaniona mie leo nipo mpaka muda huu na hapa nina machungu tele yaani.Niliziona Zile Tag Sema Nikajua Tuuh Utazingua Nikaamua Nizime Na Kimeo Chenyewe Ichi Nitulie Tuuh.