Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

[emoji28] [emoji28]
1fcb7e1bc521827f9e74952db5b18582.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
shukran za pekee ziwaendee vyura fc kwa hatua waliyofikia
 
Hahahaa. Nilikutag zaidi ya mara tatu hata kunijibu nikajisemea Aminas kanikimbia.
Niliziona Zile Tag Sema Nikajua Tuuh Utazingua Nikaamua Nizime Na Kimeo Chenyewe Ichi Nitulie Tuuh.
 
Eeeeh eeh wamechana mkeka

Kapigwa Yanga

Eeeehhe wamechana mkeka
 
!
!
Walishafungwa kabla mpira kuanza.

Wenzao kwenye dressing room wako wanajadiliana wao wako wanachati tu miguu juu.
Mfyuuuu
 
Tetesi: wächezaji Yanga wanashindi ngunga,puli,mchobengo,mastabe wapate wapi nguv?
 
Jamaa wanacheza kama hawataki, wanapiga pasi za kukata nyonga ukizifuata kichwa kichwa.
Karibu Al-Masri.
 
Niliziona Zile Tag Sema Nikajua Tuuh Utazingua Nikaamua Nizime Na Kimeo Chenyewe Ichi Nitulie Tuuh.
Hahahaa. Ila kesho ukiziona usizichunie si unaniona mie leo nipo mpaka muda huu na hapa nina machungu tele yaani.
 
Yanga wamegongewa pasi za kutosha na hawa Township Rollers km Man city walivyowagongea Chelsea. Yanga hovyo kabisa.

Hawa township rollers wangekutana na sisi wekundu Wa msimbazi gemu ingekuwa Kali sana any way hawa Al Masry kesho lazima tuwape ki zygote fasta.
 
Back
Top Bottom