Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
FULL TIME: Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha 😀 😀 😀 😀 😀 😀
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kaliwa Kiboga
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kaliwa Kiboga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe sijaangalia. Waulize wengineMambo vipi mkuu! Niko mbali kidogo na matangazo, ngapi ngapi?
Binafsi kesho hata simba ikifungwa wala sitasikitika kama nilivyo sikitika juzi walipo toa droo na stand ya ShinyangaHahahaaa. Kabisaaa na ukizingatia na nyie mna kigingi kesho hivyo inabidi tuombeane tu kwa kweli.
Hahahaha Kigingi Kitakatika Tuuh!!Hahahaaa. Kabisaaa na ukizingatia na nyie mna kigingi kesho hivyo inabidi tuombeane tu kwa kweli.
Pole bibie, leo mmeangukia pua inabidi ulale mapemaaa, mechi za kimataifa zinawenyeweKila la kheri timu yangu nisiyochoka kukushangilia iwe kwenye ushindi, sare au hata kufungwa.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Ukorofi Uo Ushaisha Tanzania 1 Wageni 2Mpira haujaisha tu jamani?
Hahaaaaa mwl.kashashaKwakoo mwalim kashasha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23]Ukorofi Uo Ushaisha Tanzania 1 Wageni 2
Mkuu walidhani wanacheza na Ndanda FCUkorofi Uo Ushaisha Tanzania 1 Wageni 2
Kuwa na amani mtani... Mpira siku zote hudunda kama wao wameweza kushinda wakiwa ugenini why sisi tushindwe kufanya hayo maajabu nyumbani kwao bado na imani kuwa yanga inayo nafasi ya kufuzu...Aiseee. Sidhani Mtani ila huenda ikawa hivyo.
Na wewe una mtihani kesho kesho. Kwa hiyo utulieFULL TIME: Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha 😀 😀 😀 😀 😀 😀
[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kaliwa Kiboga