Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Pole mkuu namanyele mpira ndiyo umekwisha na Yanga yako amekula zake 2 saafi, sasa anaenda ugenini huko atachezea 4 bila. Kesho jiandae tu kuishabikia Simba, mabingwa wapya!Usikimbie mkuu tuwepo mpaka mwisho
Acha kujipa matumaini wewe mmefungwa na makilikili bandhao jamaa wazuri..kumpiga al mareikh tatu si kazi ndogo
Unatia hurumaNa wao watafanya kosa kama hilo kwao
Na kweli emmyta kila penye uzito na wepesi upo, mfupa wa mechi za kimataifa ni mgumu sana kwa Yanga, subirini wepesi upo kwenye kucheza na kina Lipuli FC na Ruvu ShootingHahahaaa. Pambaneni na hali zenu. Ina maana hamjui mpira ni dk 90.
Mnyama yuko vizuri sana msimu huu, kesho anampiga mtu 2 bila.Afadhali...kesho ikitokea mnyama akipigwa tutakua tumefanana..eti?
Kuwa na heshima bhana. Kauli gani hizo.? Yanga kafungwa bhanaYanga kapigwa 2-1
Hapana Walijiandaa Vizuri Sema Siku Aikuwa Yao.Mkuu walidhani wanacheza na Ndanda FC
Lol! Tusiombeane Mabaya Ivyo Jua Ni Tanzania Inacheza Nawe Pia Mtanzania.Afadhali...kesho ikitokea mnyama akipigwa tutakua tumefanana..eti?
Eti "Yanga ikishindwa, Tanzania imeshindwa" by Mbili Mzuka!Hapana Walijiandaa Vizuri Sema Siku Aikuwa Yao.
Sema Kuna Watu Waliitoa Kabisaa Simba Kuona Tupo Na Wale Nywele Za Paka Na Kuipa Yanga Nafasi Ya Kufanya Vizuri Ila Leo Nahisi Watabadirisha Kauli.
Kashasha Kasema Kuna Mlima Mkari Sana Mbele ya Yanga Mola Awapiganie.
Rollers wamei-roll Yanga, ha ha ha ha, na wakienda ugenini wanakuwa rolled 4 times!Hao ndio Rollers bwana!
Mĺïzania mdebwedo wa Ndanda eeh
Warudi shirikisho tuwachape ,hii siyo club ya Tanzania inatia aibu warudi shelisheliUsisikitike sana ndio mpira ulivyo..hata hivyo bado nafasi IPO..
Hahaha. Hukawii kunikimbia AminasHahahaha Kigingi Kitakatika Tuuh!!
Natamni Nikualike Uwanjani.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Sisi pia ni Wenyewe ujue.Pole bibie, leo mmeangukia pua inabidi ulale mapemaaa, mechi za kimataifa zinawenyewe
Ni kweli emmyta.. Matokeo haya si rafiki kwako gemu ifuatayo huko kwao. Lakini nakulaumu unashindwaje kumfunga huyu ilhali timu ya kawaida tu kama za VPL?Hahahaa. Sawa Mtani wangu nimekubali yote leo.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120]
Hahaaa. Sio siri unajua kunipa moyo mtani lol.Kuwa na amani mtani... Mpira siku zote hudunda kama wao wameweza kushinda wakiwa ugenini why sisi tushindwe kufanya hayo maajabu nyumbani kwao bado na imani kuwa yanga inayo nafasi ya kufuzu...
Tena kesho tuwahi mapemaaaa. Hapa.Na wewe una mtihani kesho kesho. Kwa hiyo utulie