Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

Kumbe Vile [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Wakijiita WAKIMATAIFA huwa Wanamaanisha Wao Wanagawa [HASHTAG]#URODA[/HASHTAG] Kimataifa?
 
Mkuu walidhani wanacheza na Ndanda FC
Hapana Walijiandaa Vizuri Sema Siku Aikuwa Yao.

Sema Kuna Watu Waliitoa Kabisaa Simba Kuona Tupo Na Wale Nywele Za Paka Na Kuipa Yanga Nafasi Ya Kufanya Vizuri Ila Leo Nahisi Watabadirisha Kauli.
Kashasha Kasema Kuna Mlima Mkari Sana Mbele ya Yanga Mola Awapiganie.
 
Eti "Yanga ikishindwa, Tanzania imeshindwa" by Mbili Mzuka!
 
[emoji28] [emoji28]
1fcb7e1bc521827f9e74952db5b18582.jpg
 
Hahahaa. Sawa Mtani wangu nimekubali yote leo.

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120]
Ni kweli emmyta.. Matokeo haya si rafiki kwako gemu ifuatayo huko kwao. Lakini nakulaumu unashindwaje kumfunga huyu ilhali timu ya kawaida tu kama za VPL?
 
Botswana wanashindia Maziwa ya mgando, huku watu wanashindia Chips na mayai ya kisasa

[emoji23]
 
Kuwa na amani mtani... Mpira siku zote hudunda kama wao wameweza kushinda wakiwa ugenini why sisi tushindwe kufanya hayo maajabu nyumbani kwao bado na imani kuwa yanga inayo nafasi ya kufuzu...
Hahaaa. Sio siri unajua kunipa moyo mtani lol.

Inabidi niwe na amani aiseee.
 
Back
Top Bottom