Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

Pamoja na figisu za tff za kutuchezesha ijumaa na j tatu bado timu inashinda,hakika MUNGU yupo upande wa mabingwa
 
Yaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji. Aisee hii ni dhulma ya wazi kabisa
Nawashangaa zaidi wachezaji wa Yanga, kufunga magoli na kuyashangilia na hali yalikwishanunuliwa kwa pesa wanazoidai klabu yao! Teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…