Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Ha ha ha ha ha ni kwelieeeeeeeee...!Mmenunua mechi mfyuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha ni kwelieeeeeeeee...!Mmenunua mechi mfyuuuuu
Ubingwa upo gheto lakini si unakumbuka? ukiutaka sharti ujeBado tutawatimulia vumbi tu.Azam wana game 22 na Ndala game 21 wakati "mabingwa watarajiwa" tuna game 20.
Ahsante sana kwa utabiri Dada angu mzuriYanga wafungwe tu
Ha ha ha ha ha ni kwelieeeeeeeee...!Mmenunua mechi mfyuuuuu
Tutauchukulia Majimaji SONGEA...wakati Chamazi mtawekewa kombe la bandia.Ubingwa upo gheto lakini si unakumbuka? ukiutaka sharti uje
Hilooooooo!Yanarudi
FT 2-2
Hahahaha it's funnyHongereni, lakini ubingwa mshahau
HahahahaaahHilooooooo!
Ndio hivyoHahahaha it's funny
ManaramoniaYaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji. Aisee hii ni dhulma ya wazi kabisa
Nawashangaa zaidi wachezaji wa Yanga, kufunga magoli na kuyashangilia na hali yalikwishanunuliwa kwa pesa wanazoidai klabu yao! Teh teh teh!Yaani mko tayari mnunue mechi kuliko kulipa mishahara wachezaji. Aisee hii ni dhulma ya wazi kabisa
Mwanzo wa ligi waachiwa simba washangilie ili msimu unaofuata wasije wakakata tamaaYanga sijui kwanini huwa wanajituma sana wakati wanapokaribia mwisho wa ligi.