Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

Yule fala mnazi wa mikia sijui naninani jembeee amesusaa kuweka updates kwenye ki-BlogSpot chake, sababu chama kubwa linaongoza mbili mtungi, mwaka huu atakufaa kwa presha!
 
Na bado,hiki ndio kipindi cha yule Mbumbumbu Sembo kukimbia na kuwa eneo korofi mpaka msimu ujao utakapoanza tena.
 
Tunamshukuru sana Kocha Lwandamila kwa kututengenezea madogo wazuri wa baadae,hawa madogo wakiendelea kuwa Yanga then tukiongeza Mapro wawili watatu Yanga itatisha sana.
 
Back
Top Bottom