Kivipi?
Baro wanyooshe mikono tu kuepuka aibu mana daahSingida wamekaaa kikao,wanatafakari kama waendelee au inatosha
Tulia wewe mabingwa wapya na wa zamani na wawakilishi wa nchi kwenye klabu bingwa pamoja na shirikisho wanachezaHizo ndo timu za uwezo wenu
Sema refa kahongwa