Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Wananza Singida wanakwenda mbele sasa unapigwa mpira mrefuuu lakini golikipa Manula anadaka
 
37' David jezi namba 12 yupo chini baada kuchezewa faulo na Dilunga

Ameinuka mpira unaendelea, wanapiga Singida mbele, Simba wanazuia

Simba SC 5-0 Singida United
 
Dilunga anamuwekea Kagereee, Konaaaa, golikipa Chaima anacheza maridadi kwa saving ya nguvu.

Ilikuwa hatari lango last Singida Utd
 
Wanakwenda Simba sasa, lakini Singida Utd wanazuia, wanapiga mbele Mkude anatuliza anaangalia kwake Kanda
 
45+3'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Uhuru, Singida Utd wakiwa hoi bin taabani

Chaima golikipa yupo chini tena akipata matibabu baada ya kupata rabsha kwa mara nyingine, amenyanyuka mpira unaendelea

Naaaaaaam mpira ni mapumziko simba wakitoka mbele ya mabao 6 kwa bila.

VPL, HT: Simba SC 6-0 Singida United
 
Back
Top Bottom