Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Kagereeeeee Goooooooooooooooooooaaal

Anaweka kambani bao la nane ikiwa bao la nne kwa siku ya leo, Singida wapo nyuma ya mabao manane

Simba SC 8-0 Singida Utd
 
Wanarusha Singida kwake George anapiga ndefuuu, inazuiliwa na Defender wa Simba wanapiga mbele
 
Zilipigwa pasi kwa Singida, lakini walishindwa kabisa kupenya ukuta wa Simba.

Haya wanachukua Simba mbele kulee, kwake Meddieeee, anafanyiwa faulooo, inapigwaaaaaa wanapoteza Simba
 
88' mpira unarushwa kuelekea Singida, unamfikia Fragaaaaa, anapigaa loooo inakuwa Kona, inapigwaaaaaa njeeeee

Simba SC 8-0 Singida Utd
 
Watu wanajipongeza baada ya kurusha bomu mochwali

Sent using Jamii Forums mobile app





Imagine kuna waliowahi kudraw na kuruhusu goli na waliopo mochwari(wafu) 😂😂😂


20200311_174111.png
 
90+2'

Kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL

Inapigwaaaaaa kuleeeee, golikipa wa Singida anaruka na kuutoa mpira na na kuwa Kona

Anakwenda kupiga Wawa upande wa kulia, anapiga mpira wanaokoa Singida, anakimbilia Shiboub

Naaaaaaam mpira umekwishaa Simba wanaibuka na ushindi mnono wa mabao manane kwa bila dhidi ya Singida Utd

VPL, FT: Simba SC 8 -0 Singida Utd
 
Back
Top Bottom