Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Uwanja wa Uhuru | Vodacom Premier League (VPL), Simba SC dhidi ya Singida United

Mkuu,simba mabingwa...hayo yote unayoandika ni blah blah za haters,nakuelewa

Nimeambatanisha na picha
View attachment 1384477
Sijakataa wala kubisha ubingwa wa simba, itakuwa unakili kuwa unanielewa halafu kumbe hunielewi point yangu ni ipi. Singida ndani ya msimu huu imekuwa timu dhaifu zaidi kuliko timu zote, embu fikiria ndani ya mechi 27 imeshinda mechi mbili tu. Kwahiyo kufungwa goli hata 10 haistui. Na leo Simba walikuwa wanatamani hata wawafunge magoli 10+ ili kuwapa furaha mashabiki wake baada ya kushindwa kufanya hivyo siku ya jumapili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlivyo cheza nae kwanini hamkufunga hizo goli ?? mlifunga mbili sijui moja, kwann hamkumfunga hizo 10?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kumbukumbu huna, nakukumbusha tu kuwa kabla ya mambo hayajawa mabaya zaidi kwa Singida; mechi ya kwanza ya Singida vs Simba, Simba walishinda kwa goli moja tu huku mechi ya kwanza ya Singida vs Yanga matokeo yakiwa magoli 3 kwa 1. Singida imeporomoka sana kwenye kuburuza mkia hana mpinzani kwa msimu huu

singida mmecheza nae January tu hapo, sio zaman.. , tena Morrson alikua mchezaj tayari na alicheza. kwann hamkuwafunga hizo goli ?? kwann waliwafunga goli ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Sibonike Kama mngetumia nguvu ya March 8 kwa game zote za Vpl, mbona mngekuwa mnaongoza ligi, lakini sasa sijui mnakwama wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi na Yanga mlishindwa kupenyeza kwa refa maana Rais wa CAF alikuwepo. Kaondoka na ni business as usual.
 
Tunapigania kufikisha point 100 plus
Fikisheni tu...lakini kwa waelewa wa soka la tz wanajua wazi kuwa ushindi wa leo wa 8-0 ulipangwa kuleta utulivu ndani ya klabu kufuatia kipigo Cha 1-0 kutoka yanga....ni sawa na walipochapwa mtibwa 3-0 kufuatia kipigo Cha 1-0 kutoka jkt
 
singida mmecheza nae January tu hapo, sio zaman.. , tena Morrson alikua mchezaj tayari na alicheza. kwann hamkuwafunga hizo goli ?? kwann waliwafunga goli ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo point yako ni ipi? Maana Simba na Yanga wameshakutana wenyewe kwa wenyewe mara mbili ndani ya msimu huu na matokeo yanajulikana. Sasa embu sema nini point yako kwamba Singida sio wabovu au unataka kusema kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom