Uwanja wa Uhuru Wafungiwa. Simba tafuteni Uwanja wenu wa Nyumbani..

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
20231222_113139.jpg
 
Aibu sana, yaani uwanja wa Uhuru unazidiwa na Mbarali estate, Karatu, Gwambina. Halafu uwanja kama ule wakaweka nyasi bandia za ubora wa chini kabisa bora hata Nyamagana Mwanza. Nchi hii Serikali bado haijawa siriasi na michezo.
Ule uwanja wa jeshi ,sio wa Tff wala nani ,wenyewe ktk mashindano yao ya majeshi unawafaa
 
Ni aibu kwa vilabu vikubwa na vikongwe kama Yanga na simba kukosa viwanja vyao binafsi kwa ajili ya mazoezi na mechi. Miaka zaidi 80 tangu vilipoanzishwa, ni umri wa binadamu aliyekula chumvi nyingi.

Haiwezekani kwa timu changa kama Azam, Ihefu, Namungo, Mtibwa, nk zina viwanja vyao! Halafu Yanga na simba wanahangaika miaka nenda kutafuta maeneo ya kufanyia mazoezi, na pia kuchezea mechi zao.
 
Simba ana uwanja wa mazoezi mkuu,
 
Uwanja wa bunju mo Simba arena una pitch Bora sana tatizo majukwaa na vyumba vya kubadilishia nguo
 
Back
Top Bottom