Uwanja wa Uhuru Wafungiwa. Simba tafuteni Uwanja wenu wa Nyumbani..

Uwanja wa Uhuru Wafungiwa. Simba tafuteni Uwanja wenu wa Nyumbani..

Ni aibu kwa vilabu vikubwa na vikongwe kama Yanga na simba kukosa viwanja vyao binafsi kwa ajili ya mazoezi na mechi. Miaka zaidi 80 tangu vilipoanzishwa, ni umri wa binadamu aliyekula chumvi nyingi.

Haiwezekani kwa timu changa kama Azam, Ihefu, Namungo, Mtibwa, nk zina viwanja vyao! Halafu Yanga na simba wanahangaika miaka nenda kutafuta maeneo ya kufanyia mazoezi, na pia kuchezea mechi zao.
Serikali haitaki.
 
Na tulichanga buku buku zetu za uwanja nadhan wanakamilisha sasa huko bunju
Na watu kweli wakaingia mkenge. Nawaambiaga watu pesa ipo hapa hapa bongo coz wajinga bado wengi ni kuwa na akili kidogo tu kama ilivyo kwenye manabii, waganga, viongozi wa Simba na yanga
 
Ni aibu kwa vilabu vikubwa na vikongwe kama Yanga na simba kukosa viwanja vyao binafsi kwa ajili ya mazoezi na mechi. Miaka zaidi 80 tangu vilipoanzishwa, ni umri wa binadamu aliyekula chumvi nyingi.

Haiwezekani kwa timu changa kama Azam, Ihefu, Namungo, Mtibwa, nk zina viwanja vyao! Halafu Yanga na simba wanahangaika miaka nenda kutafuta maeneo ya kufanyia mazoezi, na pia kuchezea mechi zao.
Tatizo Yanga na Simba wapo mchwa wanaovitafuna hivi vilabu chini kwa chini, ni suala la muda tu tutaona vilabu vimeanguka hivi endapo hatua za makusudi hazitachukuliwa kunusuru hali
 
Na watu kweli wakaingia mkenge. Nawaambiaga watu pesa ipo hapa hapa bongo coz wajinga bado wengi ni kuwa na akili kidogo tu kama ilivyo kwenye manabii, waganga, viongozi wa Simba na yanga
Kwahy mzee baba una maanisha zile tumepigwa?
 
Seriously!
Mwamba ndio ametoa mpunga pale na hajawahi ku declare kabisa kama ni sehemu ya ile 20B aliyowekeza.
Atazua zengwe maana hela ya kununua kiwanja nakumbuka ali iitafuta Aden Rage kipindi mwenyekiti, hii sasa unayoniambia ni mpya
 
Wale waliokuwa wanaisema vibaya azam tv kuwa wanaonyesha mechi ovyo kwenye huo uwanja nadhani sasa mmeelewa tatizo liko wapi
 
Hili ni kweli au Kuna mchongo kwa ajili ya soko la taasisi flani, ipate timu au Wateja watakao kodi kiwanja chao.
 
Ila FIFA hawataki tena nyasi bandia.

Mambo ya mazingira
Fifa wame kataa nyasi bandia kwenye mashindano yanayo wahusu wao uku kwenye FA za nchi husika Bado vinatumika .
Mfano Azam Carpet lao Bado jipya kabisa na linatambuliwa na CAF.
 
Back
Top Bottom