Uwanja wa Uhuru Wafungiwa. Simba tafuteni Uwanja wenu wa Nyumbani..

Uwanja wa Uhuru Wafungiwa. Simba tafuteni Uwanja wenu wa Nyumbani..

Atazua zengwe maana hela ya kununua kiwanja nakumbuka ali iitafuta Aden Rage kipindi mwenyekiti, hii sasa unayoniambia ni mpya
Nilihudhuria event ya kuzindua huo uwanja 2020.
Nina uhakika siku udhamini wa Mo unafikia kikomo, hiko kiwanja kitaleta mgogoro sana.

Na huyo mwamba ni msanii mzuri.
 
Hii nchi kila mahali ni ujinga tu,sasa uwanja wa Uhuru hauna vigezo ila ule wa Shule wanaotumia Geita Gold una vigezo 😁😁😁qumerniner
 
Fifa wame kataa nyasi bandia kwenye mashindano yanayo wahusu wao uku kwenye FA za nchi husika Bado vinatumika .
Mfano Azam Carpet lao Bado jipya kabisa na linatambuliwa na CAF.
Hivi eeh!!
 
Wale waliokuwa wanaisema vibaya azam tv kuwa wanaonyesha mechi ovyo kwenye huo uwanja nadhani sasa mmeelewa tatizo liko wapi
Hatimaye kilio chetu kimesikiwa. Fungilia mbali kituko kile. Nadhani Benchikha kuulalamikia ule uwanja baada ya mechi ya Kagera imechangia hili kutokea maana viongozi wa Simba walikuwa wanajifanya viziwi na vipofu. TFF imetumika tu kuua soo
 
Uwanja wa bunju mo Simba arena una pitch Bora sana tatizo majukwaa na vyumba vya kubadilishia nguo

Kwa mtazamo wangu naona bado na wenyewe haujafikia viwango vya kuitwa uwanja wa mazoezi kwa timu kubwa na kongwe kama simba.

Nadhani ni muda sahihi wa kuhoji kuhusu ile michango yetu ya kujenga uwanja tuliyochangishwa na Muddy

Nyie simlishindwa kuzila? Mliona wapi uwanja unajengwa kijingwa hivyo

Seriously!
Mwamba ndio ametoa mpunga pale na hajawahi ku declare kabisa kama ni sehemu ya ile 20B aliyowekeza.
Kwa maoni yangu lile eneo bado ni dogo maana kuna mipango ya kujenga hosteli kwa senior team, timu ya wanawake na vijana. Hapo hapo uwe na angalau viwanja vitatu vya mazoezi au labda hata vinne ikiwemo vya nyasi bandia na asilia, halafu ujenge uwanja wa kuchezea mechi wenye majukwaa, uwe na parking lot na makorokoro mengine kama migahawa na maduka. Eneo lile lingepanuliwa zaidi.
 
Back
Top Bottom