Nilihudhuria event ya kuzindua huo uwanja 2020.Atazua zengwe maana hela ya kununua kiwanja nakumbuka ali iitafuta Aden Rage kipindi mwenyekiti, hii sasa unayoniambia ni mpya
Buku buku zenu zilijenga uzio.Na tulichanga buku buku zetu za uwanja nadhan wanakamilisha sasa huko bunju
Sio mtazamo wako bali ndio uhalisia,Kwa mtazamo wangu naona bado na wenyewe haujafikia viwango vya kuitwa uwanja wa mazoezi kwa timu kubwa na kongwe kama simba.
Hatimaye kilio chetu kimesikiwa. Fungilia mbali kituko kile. Nadhani Benchikha kuulalamikia ule uwanja baada ya mechi ya Kagera imechangia hili kutokea maana viongozi wa Simba walikuwa wanajifanya viziwi na vipofu. TFF imetumika tu kuua sooWale waliokuwa wanaisema vibaya azam tv kuwa wanaonyesha mechi ovyo kwenye huo uwanja nadhani sasa mmeelewa tatizo liko wapi
Uwanja wa bunju mo Simba arena una pitch Bora sana tatizo majukwaa na vyumba vya kubadilishia nguo
Kwa mtazamo wangu naona bado na wenyewe haujafikia viwango vya kuitwa uwanja wa mazoezi kwa timu kubwa na kongwe kama simba.
Nadhani ni muda sahihi wa kuhoji kuhusu ile michango yetu ya kujenga uwanja tuliyochangishwa na Muddy
Nyie simlishindwa kuzila? Mliona wapi uwanja unajengwa kijingwa hivyo
Kwa maoni yangu lile eneo bado ni dogo maana kuna mipango ya kujenga hosteli kwa senior team, timu ya wanawake na vijana. Hapo hapo uwe na angalau viwanja vitatu vya mazoezi au labda hata vinne ikiwemo vya nyasi bandia na asilia, halafu ujenge uwanja wa kuchezea mechi wenye majukwaa, uwe na parking lot na makorokoro mengine kama migahawa na maduka. Eneo lile lingepanuliwa zaidi.Seriously!
Mwamba ndio ametoa mpunga pale na hajawahi ku declare kabisa kama ni sehemu ya ile 20B aliyowekeza.