Uwazi na Uwajibikaji ni muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa barani Afrika

Uwazi na Uwajibikaji ni muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa barani Afrika

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kwa mujibu wa Toleo la 10 la Global Corruption Barometer (GCB) – Africa, watu wengi barani humo wanaona Rushwa imeongezeka katika Nchi zao

Vilevile, idadi kubwa ya Wananchi katika Mataifa mbalimbali Afrika wanaona jitihada za kupambana na tatizo hilo bado haziridhishi

Ili kukabiliana na changamoto hii, ni muhimu kwa Mamlaka kuimarisha Uwazi na Uwajibikaji hususan katika Masuala yanayohusisha Fedha za Umma

=====

Corruption in African countries is hindering economic, political and social development. It is a major barrier to economic growth, good governance and basic freedoms, such as freedom of speech or citizens’ right to hold governments to account

More than this, corruption affects the wellbeing of individuals, families and communities

The 10th edition of the Global Corruption Barometer (GCB) – Africa reveals that while most people in Africa feel corruption increased in their country, a majority also feel optimistic that they, as citizens, can make a difference in the fight against corruption

Our research shows that more than half of all citizens think corruption is getting worse in their country and that their government is doing a bad job in tackling corruption

The report also found more than one in four people who accessed public services, such as health care and education, paid a bribe in the previous year

This is equivalent to approximately 130 million citizens in the 35 countries surveyed

Conducted in partnership with Afrobarometer and Omega Research, the GCB is the largest, most detailed survey of citizens’ views on corruption and their direct experiences of bribery in Africa. The survey incorporates the views of more than 47,000 citizens from 35 countries across Africa

Institutions & services
Citizens think the police is the most corrupt institution, with 47 per cent of people believing that most or all police are corrupt. These results are consistent with findings from the 2015 report

Zaidi >> Citizens speak out about corruption in Africa - News
 
I wish I would have been the President of any country, would have killed a lot people because of corruption because corruption is enemy of right.
 
Kupambana na Rushwa-Ufisadi bila mipango/mikakati/sera nzuri na jitihada sahihi za kupunguza umaskini na kuongeza pato la raia ni kama unatwanga maji kwa kinu...Pia mkono katili wenye nia njema unahitajika sana kupunguza rushwa kama sikuimaliza katika nchi zetu za dunia ya tatu.
 
Back
Top Bottom